Kilongto

Kilongto ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Walongto. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kilongto imehesabiwa kuwa watu 2400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilongto iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search